Cassper Nyovest aweka historia tena, aujaza uwanja wa Orlando (40k)

04:03
Cassper Nyovest alithubutu kwa mara nyingine tena na amefanikiwa. Jumamosi hii, rapper huyo wa Afrika Kusini, aliweka historia kwakuwa msanii wa kwanza wa nchini humu kuujaza mwenyewe uwanja wa mpira wa Orlando jijini Johannesburg kwenye show yake aliyoipa jina Fill Up Orlando Stadium.


Uwanja huo huchukua watu 40,000. Wizkid alikuwepo pia kwa surprise na kuunga na mastaa wengine kumsindikiza rapper huyo.
Closing moment for #FillUpOrlandoStadium !!! Thank you so much!!! Next year we do FNB Stadium!!! New single dropping at 9AM titled #ABASHWE,” ameandika kwenye Instagram.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »