Orodha ya wasanii watakaotumbuiza kwenye Sauti za Busara 2017 yatoka

11:24
Baada ya kupumzika mwaka huu, tamasha la Sauti za Busara, linarejea tena mwakani. Na sasa orodha ya wasanii watakaotumbuza imetoka. Miongoni mwao ni vijana wa Yamoto Band.


Hii ni orodha nzima:

Freshlyground (South Africa); Rocky Dawuni (Ghana); Yamoto Band (Tanzania); Sarabi (Kenya); Pat Thomas & Kwashibu Area Band (Ghana); Simba & Milton Gulli (Mozambique); Jagwa Music (Tanzania); Bob Maghreb (Morocco); Karyna Gomes (Guinea Bissau); Sami Dan and Zewd Band (Ethiopia); Chibite Zawose Family (Tanzania); Rajab Suleiman & Kithara (Zanzibar); Wahapahapa Band (Tanzania); Buganda Music Ensemble (Uganda); Batimbo Percussion Magique (Burundi); Kyekyeku (Ghana); H_art the Band (Kenya); Grace Barbe (Seychelles); Roland Tchakounté (Cameroon / France);
Imena Cultural Troupe (Rwanda); Isau Meneses (Mozambique); Jessica Mbangeni (South Africa); Sahra Halgan Trio (Somaliland); Tausi Women’s Taarab (Zanzibar); CAC Fusion (Tanzania); Ze Spirits Band (Tanzania); Loryzine (Reunion); Madalitso Band (Malawi); Mswanu Gogo Vibes (Tanzania); G Clef Taarab Orchestra (Zanzibar); Afrijam Band (Tanzania); Cocodo African Music Band (Tanzania); Kiumbizi (Pemba / Zanzibar); Rico and the Band (Zanzibar); Usambara Sanaa Group (Tanzania); Mcharuko Band (Zanzibar); Taarab – Kidumbak Group

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »