Galatasaray kuingia katika mbio za kumnasa Depay

11:52

Kwa mujibu wa 'Mirror', klabu ya Kituruki inataka kumsajili Depay na wako tayari kufanya jitihada kwa ajili yake. Lakini ni  chaguo moja kwa  Depay mwenye umri wa miaka 22.

Depay alijiunga na United mwaka 2015 kutoka PSV Eindhoven na matumaini ya kuanza kazi kubwa katika Ligi Kuu lakini Mourinho hajawahi kumpa
wakati wa kutosha kucheza . Depay amekuwa akihusishwa na klabu mbalimbali  na timu kama Milan na Juventus wanataka  kujiunga nae.

Galatasaray ndio wapo karibu katika kunasa saini yake. Mholanzi huyo anataka kuihama klabu ya Manchester United, ikiwa yeye alicheza msimu huu si zaidi ya dakika kumi.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »