PICHA 4: Harusi ya kifahari ya wanajeshi 18 wa China kuoa siku moja

11:16

Miongoni mwa matukio muhimu katika maisha ya binadamu moja wapo ni Harusi ambazo pia watu wengi hupenda kusheherekea kifahari zaidi kwasababu ni tukio la kipekee kwenye maisha yao, leo nimekutana na hili ambayo sio kitu kinachotokea mara nyingi , tumezoea kuona harusi moja lakini wanajeshi hawa wa nchini China wameweza kusheherekea siku hii muhimu kwa pamoja siku moja.
Jeshi la Air Force la nchini China limeshiriki kuwafanyia harusi ya kifahari na ya kijeshi, wanajeshi wake 18 kwa siku moja najua unatamani kuona iliwezekanaje harusi ya watu wengi hivi kwa siku moja, nakusogezea picha nne ujionee harusi hiyo.




Share this

Related Posts

Previous
Next Post »