Siku
kadhaa zilizopita, mtoto wa kitanzania alichukua headlines baada ya
kuonesha uwezo wa kuwataja viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya nchi
na wazazi wa mtoto huyo walieleza kwamba sababu ya mtoto huyo kuwajua
viongozi ni kwa sababu amekuwa na tabia ya kufuatilia taarifa za habari
na akimaliza ataanza kuuliza maswali wazazi wake.
Mtu wangu
sasa kuna hii nyingine nimekutana nayo ya msichana wa miaka minne
aliyeongea lugha saba ikiwa ni pamoja na Kichina, Kiingereza,
Kijerumani, Kispanish, Kiarabu, Kifaransa mbele ya majaji kwenye Reality
TV show. Unaweza kuangalia video hii hapa chini
EmoticonEmoticon