Michezo VIDEO: Kipigo cha 6-2 kutoka Yanga, kimewafanya Kagera kuwasimamisha wachezaji

21:56

Klabu ya Kagera Sugar ya Bukoba jana October 27 2016 imeripotiwa na kituo cha Azam TV kutangaza kuwasimamisha wachezaji wake wawili kwa tuhuma za kuhujumu timu hiyo wakati wa mchezo dhidi ya Yanga, uliomalizika kwa Kagera kufungwa goli 6-2.
Kagera Sugar imeripotiwa kuwasimamisha wachezaji wake wawili ambao ni golikipa Hussein Shariff na beki Eric Kiaruzi ambaye alisababisha kufungwa kwa goli la tano na Obrey Chirwa wa Yanga, hiyo ilikuwa baada ya kurudisha mpira nyuma kwa golikipa David Buruhani lakini ukanaswa na mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma.
CHANZO: Azam TV


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »