
Zimebaki siku 22 za kupiga kura. Unaweza kumpigia kura Rais Magufuli kwa kubonyeza hapa. Hadi sasa Rais Magufuli anaongoza kwa asilimia nyingi (80%). Mwaka huu tuzo hizo zitatolewa jijini Nairobi, Kenya November 17. Wafuatao ni washindi wa tuzo hiyo miaka ya nyuma Mohammed Dewji (Tanzania)– 2015 Aliko Dangote (Nigeria)– 2014 Akinwumi Adesina (Nigeria) – 2013 James Mwangi (Kenya) – 2012 Sanusi Lamido Sanusi (Nigeria)- 2011
BONYEZA HAPA KUPIGA KURA
EmoticonEmoticon